Matangazo ya Picha
Matangazo ya Picha hua Mwanzo, Katikati au Ndani ya makala, Matangazo haya huweza kubadilika kulingana na uhitaji wa mteja. Unaweza kuangalia mfano wa Matangazo hayo kwa kujiunga nasi hapo juu.
Tanzania Tech tunakupa nafasi ya kutangaza biashara yako kwa kukupa njia bora na rahisi za kuweza kutangaza biashara yako.
Kupitia Tovuti zetu, utapata nafasi za matangazo za kisasa pamoja na njia mbalimbali za kuhakikisha biashara yako inawafikia wateja wako kwa urahisi zaidi.
Matangazo ya Picha hua Mwanzo, Katikati au Ndani ya makala, Matangazo haya huweza kubadilika kulingana na uhitaji wa mteja. Unaweza kuangalia mfano wa Matangazo hayo kwa kujiunga nasi hapo juu.
Matangazo ya Makala hua ni makala maalumu kwaajili ya bidhaa yako, Hapa inakubidi makala zako ziendane na makala zetu hii ikiwa na maana ziwe makala za teknolojia. Angalia mfano kwa kujiunga nasi.
Matangazo ambayo yataweza kutokea ndani ya programu zetu za simu za mifumo yote ya Android pamoja na iOS, Hapa matangazo yako yanabidi kuwa kwenye muundo sambamba yaani muundo utakao endana na App zetu
Matangazo ya kijamii haya ni yale matangazo ambayo yatakuwa yanaonekana kupitia tovuti mbalimbali, lakini pia matangazo hayo yatakuwa yanaonekana kwenye akaunti zetu za mitandao ya kijamii.
Tanzania Tech imeweza kutengeneza teknolojia ya kisasa ambayo inaruhusu matangazo mpaka kwenye programu mbalimbali, hivi ni baadhi ya programu hizo
Tanzania tech ni tovuti ya habari za teknolojia zinazohusu simu, programu, kompyuta, michezo, televisheni pamoja na mambo mengine ya teknolojia.
Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.
Nyubeat ni app nzuri inayokupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania audio na video. App hii ni rahisi kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia utapata taarifa pale nyimbo mpya itakapo toka.
Kupitia App ya Loko Find utaweza kuona mafundi au watoa huduma mbalimbali na utaweza kuwapa kazi zako moja kwa moja.
Ankara Yako ni app ambayo itakusaidia kusimamia biashara yako kisasa na kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwenye kompyuta na kwenye Android na utaweza kufanya yote kupitia simu yako au kupitia kompyuta yako.
Price in Tanzania ni tovuti inayo kusaidia kutafuta sifa pamoja na bei ya bidhaa mbalimbali kwa hapa nchini Tanzania.
Tanzania Tech tumefanikiwa kuwafikia wasomaji wengi zaidi kwa mwezi na pia matangazo yetu huonekana kwenye tovuti washirika.
Kama mteja tujua kuwa una maswali mengi, tumejitahisi kutoa mwongozo kwa kuandika majibu ya maswali yanayoulizwa zaidi.